Jifunzeni
nafsi zenu,na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi
kuwa waangalizi ndani yake,mpate
kulilisha kanisa lake Mungu , alilolinunua kwa damu yake mwenyewe.
*
Matendo 20:28
Kabla
hatuja okolewa tulikuwa tumeuzwa tulikuwa tunamtumikia shetani kwa hiyo Mungu
alilinunua kanisa kwa damu yake.
*
Waebrania 9:18
Tumepata
utakaso kwa damu ya Yesu / Tumesafishwa dhambi ya damu ya Yesu.
*
1yohana 1:7
*
Ufunuo 1:5-6
*
Waebrania 10:10
Damu
ya Yesu inatuingiza patakatifu.
Patakatifu
ni kumpokea Yesu Kristo na kumwabudu katika Roho na kweli
Patakatifu
tunaingia kwa damu ya Yesu na ndie mtete wetu.
*
Waebrania 10:19-25
Tmekombolewa
kwa damu ya Yesu Kristo na sio kwa vitu vinavyo halibika
*
1yohana 1:1-7
Wote
waliompokea aliwapa uweza wa kufanyika kuwa wana wake.
v Yohana 1:12
No comments