KUOKOKA MAANA YAKE NI
Kuokoka Ni kumkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni
Bwana …..
v
Warumi 10:9
Tunamkiri Yesu tukiwa Duniani na kwa kusikia neno la Kristo lisilo ghoshiwa
au kweli kwa kupita watumishi wa Mungu walio mtumwa nayeye(Yesu Kristo).
v
Warumi 10:17
Mtu
akioka anapokea msamaha wa dhambi zake.
v
Warumi 3:20
v
Waefeso2:1
Kuokoka
ni kuzaliwa mara ya pili ila si katika
mwili bali ni katika Roho na kwa maji(Ubatizo).
v
Yohana 3:1-7
Mtu
akiokoka jina lake linaandikwa kwenye kitabu cha uzima.
v
Ufunuo 20:15
Mtu
akiokoka anafanyika kuwa mwana wa Mungu.
v
Ufunuo 3:20
v
Ufunuo 3:20
v
Mathayo 18:11-14
Tumeokolewa
kwa pendo la Kristo na si juhudi zetu .
Wokovu
tume upata ni kwa neema tu.
No comments