Breaking News

FAIDA TANO ZA KUFUNGULWA KIROHO

ISAYA 61-1
KUPITIA MWANAWE WA PEKEE TUMEPATANISHWA NA MUNGU
WARUMI 5-10
Tulipofarakana na mungu tukapoteza nafasi ya pekee kati ya mwanadamu na mungu.

=>Mungu alikuwa anamtafuta mwanadamu nae mwanadamu anamtafuta mungu.
=>Mwandamu alimtafuta mungu kwa njia mbalimbali mfano kutoa sadaka.
=>Torati kazi yake kutupatanisha na mungu ni pare ambapo kabla bwana wa sabato hajaja.
=>Mungu hajawai kushuka moja kwa moja.
=>Ilimbidi bwana akae kwenye dunia iliyo uzwa nae akawa kama mwanadamu nae akawa kama mtawaliwa.
=>Hekima aliyokuwa nayo kristo wakamualika kanisani alipofika kanisani akafungua biblia(chuo cha nabii isaya) sura ya 61 mstari 1 "Roho ya bwana juu yangu....."
=>Mungu alipoona uharibifu umetokea duniani akaacha kiti chake cha enzi na mamlaka yake yote kwa sababu alikuja kuokoa wandamu ikabidi nae awe kama mwanadamu mwenye kuskia njaa kulipa kodi ila ndani yake kuna jambo limefichika la ukombozi kwa wanadamu,

No comments