KUTAMBUA ULICHOPEWA NA MUNGU NA KUKITUMIA
=Kila mtu ni kiungo cha bwana na kila mtu ndani yake kuna kitu cha kimungu. Mungu amweka kwahiyo hakuna mtu aliyeumbwa kwa bahati mbaya.
=Mungu anafurahi pale ambapo mtu anasimama kwa nafasi yake ambayo mungu ameikusudia
Warumi 12:5-8.
Mtu asipotambua nafasi au fursa yake na kutumika kwenye nafasi isiyo yake ni hasara tena ni dhambi
Warumi 9:10-13.
NAMNA YA KUJUA KITU ULICHOPEWA
1.Kufanya kitu chochote kinachohusiana na mungu
2.Kufanya jambo ambalo unalopata msukumo ndani
mfano Kuomba,kuimba.
3.kuhudhuria mafundisho mbalimbali ya mungu (KUKAA DARASANI)
VITU VINAVYOSABABISHA MTU ASIKAE KATIKA NAFASI YAKE
1.Mwili wa kuishi nao duniani unaotokana na dunia.
2.Mazingira ya maisha ya mwili
3.Mazingira ya nje
BAADA YA KUTAMBUA KITU ULICHONACHO
1.Tathimini karama iliyopo ndani yako na uwezo wako na watu wanapokeaje vizuri au vibaya.
Warumi 12-13
2.jiulize unaona matunda gani ndani yako na wengine na thibitisha hayo.
IMEANDIKWA NA APOSTLE LUCAS FREDY

No comments