Breaking News

UHUSIANO/ USHILIKA NA URAFIKI KWA BABA WA KIROHO

UHUSIANO/ USHILIKA  NA URAFIKI KWA BABA WA KIROHO
=>Shetani anacho kifanya ni kuharibu uhusuano kati ya mtoto wa kiroho na Baba yake wa kiroho kwa sababu anajua mafanikio ya huyo mtu na kila jambo liko kwa Baba yake wa kiroho (mtumishi).
=>Inapaswa kuwa na urafiki na ushirika kanisani.
Zaburi 133:1-3
=>Mtu akitaka ashinde vita na afanikiwe awe anaushirika mzuri na Baba yake wa kiroho.
=>Shetani anamfunga mtu asitembee kwenye kanuni za Mungu na kufunya awe kipofu,kiziwi na mwisho anamuangamiza.
=>Kuna sababu za msingi na zisizo za msingi kumtenganisha mtu na Baba yake wa kiroho ila zote ni fake kwa mtu anayetambua nafasi ya Baba yake wa kiroho.
Yohana 6:1-71
=>Shetani anacho kifanya ni kuanza kumkosesha mtu na Baba yake wa kiroho na hatimae ananza kuonaanayo angazwa na Baba yake wa kiroho ni kero.
Yohana 14:7-7
=>Hakuna hatima ya mkristo yeyote pasipo hatima ya Baba yake wa kiroho, kwa hiyo ni laziima mtoto wa kiroho afuate kanuni za Baba yake wa kiroho  ndipo atakapofika kwenye hatima yake.
Waebrania 13:7-8
Kanuni za Mungu ili amfurahishe Mtoto wa kiroho/Mkristo
1.Ni lazima mkristo au mtoto wa kiroho afikiri juu ya madhabahu ya Baba yake wa kiroho.
2.Awe tawi linalo zaa ndani ya Baba yake wa kiroho.
3.Kunyenyekea kwa Baba yake wa kiroho kwa gharama yeyote ile.



No comments