Mathayo 7:7-10.
Wote waliompokea kristo walipewa uwezo wa kuwa watoto wa mungu.
kwahiyo tumepewa ahadi juu ya kuomba.
Yeremia 33:3
Tunaona kwamba mungu ana ahidi tumuite.
-sasa tumuite
MAOMBI NI MAZUNGUMZO KATI YA MUNGU NA MWANADAMU
Reviewed by APOSTLE LUCAS FREDY
on
October 25, 2017
Rating: 5
No comments