Breaking News

VITU VYA MSINGI

(1) Kuondoa vigezo vyako vinavyokufanya uonekane ni wa mungu. kuweka vigezo vya mungu vinavyokufanya uwe wake Yohana 3:16 Yakobo 1:18
(2) Taabu na magumu yamewekwa ili uwe mbabe na mnyenyekevu.
Mungu analengo na wewe na wewe kwa kila tatizo 2 korintho4:17
Duniani ni sehemu yenye matatizo kila unapotatua moja jingine linakuja 2 Petro4:12 Zaburi 34:18
-Mungu angezuia yusuph asitiwe gerezani
-Daniel asitupwe katika shimo la simba
-Yeremia katika shimo la tope
-Paulo kuvunjikiwa na jahazi mara tatu
(3) Tumia kauli ya mungu
-Daudi alimshinda goliati kwa kauli ya mungu.
Isaya 44:1-5
Isaya 44:21-23



No comments