-Tulijifunza kuwa imani ni kuwa na uhakika na mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Ebrania 11:1
-Pia tulijifunza chanzo cha imani ni kusikia.
-kwa hivyo imani chanzo chake ni kusikia.
-imani ni kutarajia kitu fulani kisichoonekana
Rumi 8:24
Korintho 13:12
Korintho 4:12
No comments