Breaking News

Mungu hapendi kujitoa nusu

Mungu hapendi kujitoa nusu 
=> Utii nusu
mwanamke msamaria alijaribu kufanya mjadala na yesu kuhusu.
=> Mda sahihi
=> Mahali pa kuabudu
=> Namna ya kuabudu
Yesu alijibu hayo yote
yohana 4-19=>24

Tambua kuna njia sahihi na isiyo sahihi katika kuabudu. Waebrania 12-28

No comments