Breaking News

NJIA ILIYO SAHIHI YA KUABUDU NA SIFA NNE ZA MUHIMU


1.Kumjua unaemuabudu na tabia zake 

2.kukubaliana nae kufanya mkataba naye
              .warumi 10-9=>10
              .isaya 1-18

3.ibada yako lazima ijengwe kwenye kweli na maandiko
              .yohana 21-23

4.uhaminifu wa moyoni
   =ukweli kuhusu wewe.
               .zaburi 51-3=>19


No comments