Breaking News

IMANI SAHIHI

waefeso 4:1-6

Imani sahihi inakitundani yake na inazaliswa kitu sahihi ndani.
Waebrani 11:1
Mwanzo 1:1-5
1Wakoritho 10:1
Kuna tofauti kati ya Bwana Yesu na Mabwana wengine na tofauti yake kuzaliwa kwake Bwana Yesu na Mabwana wengine.
Isaya 7:14
Zipo imani ambazo ni sahihi na zisizo sahihi zisizo amini Yesu Kristo ni Mungu.
Yohana1:1-14
Waebrania 11:4
"kwa imani abiri alimtolea......."
Mtu anpo mwendea Mungu ni lazima aamini kwanza Mungu yupo kwasababu pasipo imani hatuwezi kumpendeza Mungu.
Waebrania 11:5 
Kuna mambo yana yasiyoonekana kwa macho ya damu na nyama bali katika ulimwengu wa roho
Marko 16:16
"watu wanaoamini wa jina la Yesu watatoa pepo,watasema kwa lugha mpya......"

Mfano imani sahihi
1.Yesu kristo ni Mungu pia ana nafsi moja
2.Mtu anataiwa akiamini na kuokoka na abatizwe kwa jina la Yesu Kristo katika maji mengi.
3.Watoto wadogo hawatakiwi kubatizwa kwa sababu wao hawaamini.
Jambo la kwanza Mungu anapoenda kwa mtu ni lazima ajitambulishe.
Isaya 61:1
Neema imefuniliwa  iwapayo wanadamu akili,
Ipo neema inayo mwezesha mtu kumjua Mungu na mtu kujuliakana na Mungu.
Mtu akimjua Mungu ni rahisi kupata mafanikio,uponyaji kutoka eneo moja haidi jingine.
Mtu anapomjua Mungu nirahisi sana maombi yake kuwa majibu kwasasbabu anamomba  Mungu anaye mjua.
Mtu anapomjua Yesu ni Mungu hauna jambo linaloweze kuzuia mtu asipoke majibu yake. 








No comments